Lema like Martin Luter King
Mimi mara zote nasema Lema ni mpiganaji wa kweli...mpaka mkuu wa kaya anamgwaya pamoja na maneno makali alyopewa,,ni chungu lakini amemeza...hakuna ikulu,wala polisi aliyetia neno...
Kweli wewe ndo mbunge wa arusha, najua unajua watu wa arusha na tanzania wanataka nini? Kiukweli watu wa arusha hawana hata chembe ya uwoga...safi Lema umewakilisha vyema mji wetu...
Kukaa kimya nalo ni jibu kwa mtu ambaye hajitambui.
Kurugenzi yenu ya Ikulu huwa haichelewi mfano gazeti la Tanzania Daima lilipo ripoti Rais kasema huo ni upepo tuu na utapita mbona haikufika hata mchana ikakanusha hili inashindwaje? wanamuogopa Lema kama Lowassa anavyo ogopwa ndani ya CCM na serikali kwa ujumlaKukaa kimya nalo ni jibu kwa mtu ambaye hajitambui.
Ritz silence means Yes
hata mtoto wa chekechea anajua
Martin Luther King, sikumbuki kama alikuwa anatukana watu matusi.