UBADHIRIFU,wa pesa za umma uliofanywa na serikali kuu kwakipindi cha mwaka 2008 pekee, NI Tsh,772,392,715,400/=
Pesa hizi kama zingetumika kununua matrekta kwaajili ya kuboresha kilimo kwa bei ya Tsh,20,000,000/= KWA KILA MOJA
PANGE PATIKANA MATREKTA,3,862,ambayo ni wastani wa matrekta MAWILI katika kila KATA kwa TANZANIA NZIMA.