Utaratibu wa kuwa-distribute nchi nzima nafikiri unafanywa, maana wanasema wakiwaweka pamoja wasije wakaanzisha ka-Jamhuri ka Burundi. These people never forget their home. Hata wakikaa miaka 100 bado watajiita Warundi na wanakuwa na aspirations za kurudi kwao. Kinachowaweka hapa nchini ni shida za kisiasa na siyo maisha.