Serekari inamnyonya mwananchi kwa asilimia mia moja bila kujari ugumu wa maisha uliopo we piga esabu mtaji wangu ni Tsh1500000 kodi yangu kwa mwaka ni 120000 fire nawalipa Tsh42000 kwa mwaka bango nalipa Tsh72000 kwa mwaka mchango wa shule nalipa Tsh20000 kwa mwaka Ulizi nalipa Tsh20000 pango la chumba nalipa Tsh600000 kwa mwaka mfanyakazi wangu namlipa Tsh 1200000 kwa mwaka bado sijara sijalipa ushuru wa taka, umeme, maji,na familia zijazungumzia je nani ataendelea mbele kwa ushuru huu hata uwe na milio kumi na wakati huo wawekezazaji wanekuja na kufanya biashara za kimachinga je utamuuzia nani wewe unae jumua kwa mtu mmwenye mtaji wa milion mia na anauza leja leja na jummla. Kweli safari yangu nitafika kwA stAili hii au nishike bunduki nikachukuwe changu kwa wadosi