Serikali hamlioni hili??

Muuru

Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
29
Reaction score
5
Wakuu nawasalim popote mlipo.
Kiukweli nashangazwa sana napopita maeneo ya Dar haswa Temeke na mnazi mmoja kuna watu wanaoendesha maonesho ya kuhusu freemanson na matumizi ya kondom
Kwa yeyote aliyewahi kuwaona watu hawa wanawadanganya watu eti wao walikua fremanson wakakimbia(sina uhakika kama mtu anaweza kuwakimbia wale majamaa)
Kikubwa ni hawa wanaodemo na kupinga matumizi ya kondom wakisema ina madhara makubwa kwa afya. Kiukweli ni umati mkubwa sana huenda kushuhudia. Swali langu ni Je,serikali imewapa vibali watu hawa? Kama ndio inafuatilia kujua matumizi ya vibali hivyo?
Pili ni Je,kwa umati wote ule hata kama sio wote wataafiki ila wakitoka watu watano walioaminishwa kwamba matumizi ya kondom ni hatari kwa afya na wakauza mechi kwa watu walioko kwenye mtandao madhara yake yatakua kiasi gani kwa jamii?
Naomba kuwasilisha
 
Kuna mmoja nae anajifanya Kanumba aliwahi kumfuata anataka ajivue kwa hao jamaa ila sharti lililomfanya asiachane na hao jamaa ni kwamba mali zake zote zitateketea kitu ambacho Kanumba hakuwa tayari.

Yule jamaa nilimsikiliza mahojiano yake nimegundua ni uongo mtupu
 
Serikali iko busy na maandalizi ya kura ya maoni na uchaguzi wa october. Kwani hali ya ccm ni mbaya
 

Kaka hawa watu sijui wanataka tufike wapi
 
Hayo yote ni ukosefu wa ajira, mtu ambaye yuko anajishughulisha hana mda wa kuwasiliza. Watanzania tufunguke, tutenganishe ukweli na uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…