PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Mkuu, hii Sera ni Nzuri Ukiwa katika Jimbo, ama mkoa wenye Resources nyingi na kutoshereza kujiletea maendeleo, swali langu ni kwamba, Kwa kuwa mikoa yenye utajiri wa lasirimali za kutosha huwenda zisifikie hata mikoa 8, hiyo mikoa mingine wataweza kuvumilia umaskini Wao uliopo ktk mikoa Yao ukiwemo mkoa wa Singida anakotokea Raisi wa mitandaoni?
Sera ya majimbo, ni Nzuri Sana mkiwa na eneo kuuubwa la nchi, nchi yetu ni ndogo na inaweza kulinganishwa na Jimbo moja tu la Taxes Maerekani, maana yake Ni kwamba, Jimbo la Taxes, utajiri ulio katika Baadhi ya maeneo yake, huufunika umaskini wa maeneo mengine yasiyokuwa na utajiri wa rasilimali
Je, hapa, mtaigawaje hii nchi ili kwamba, Kwa mikoa hiyo isiyozidi minane iingizwe kwenye hayo majimbo hata yasiyokuwa na kitu ili sasa kuumeza huo umaskini wa mikoa zaidi ya ishirini+
Hata ukasema uigawe kikanda, Naihofia kanda ya Kati, Kwa kuwa mikoa yake ni myeupe na inakuwaga na njaa sana
Ni heri tuwe na Jimbo moja maskini kuliko kua na mikoa yote maskini. Huko ulikotaji kua hawana Mali tutajenga vyuo mbalimbali ili hawa wenye majimbo tajiri wapeleke vijana wao wakasome huko.Mkuu, hii Sera ni Nzuri Ukiwa katika Jimbo, ama mkoa wenye Resources nyingi na kutoshereza kujiletea maendeleo, swali langu ni kwamba, Kwa kuwa mikoa yenye utajiri wa lasirimali za kutosha huwenda zisifikie hata mikoa 8, hiyo mikoa mingine wataweza kuvumilia umaskini Wao uliopo ktk mikoa Yao ukiwemo mkoa wa Singida anakotokea Raisi wa mitandaoni?
Sera ya majimbo, ni Nzuri Sana mkiwa na eneo kuuubwa la nchi, nchi yetu ni ndogo na inaweza kulinganishwa na Jimbo moja tu la Taxes Maerekani, maana yake Ni kwamba, Jimbo la Taxes, utajiri ulio katika Baadhi ya maeneo yake, huufunika umaskini wa maeneo mengine yasiyokuwa na utajiri wa rasilimali
Je, hapa, mtaigawaje hii nchi ili kwamba, Kwa mikoa hiyo isiyozidi minane iingizwe kwenye hayo majimbo hata yasiyokuwa na kitu ili sasa kuumeza huo umaskini wa mikoa zaidi ya ishirini+
Hata ukasema uigawe kikanda, Naihofia kanda ya Kati, Kwa kuwa mikoa yake ni myeupe na inakuwaga na njaa sana
Sana, Yaani Lisu mmoja ni sawa na CCM wote nchi nzima. We hushangai wote wanajibu hoja za Lisu tu ndo ujue amewazidi sana kwa akiliLisu anaakili sana huyu jamaa
Lisu ni mpango wa Mungu, Yaani kumkataa Lisu ni kumkataa MunguChadema nawakubali sana hawa jamaa kwa Sera zao. Wapo tofauti sana.
Nitajie Sera zao tano, zilizopo kwenye ilani yao. Hawa watu hawana Sera, ni watu wa matukio tu. Tanzania ni Moja, hayo majimbo akagawe huko Ubelgiji sisi hapana.Chadema nawakubali sana hawa jamaa kwa Sera zao. Wapo tofauti sana.
Achana nae huyo, ni uyoga tu hajui hata anachoongeaNi heri tuwe na Jimbo moja maskini kuliko kua na mikoa yote maskini. Huko ulikotaji kua hawana Mali tutajenga vyuo mbalimbali ili hawa wenye majimbo tajiri wapeleke vijana wao wakasome huko.
1. Bima ya afya kwa kila mwananchi.Nitajie Sera zao tano, zilizopo kwenye ilani yao. Hawa watu hawana Sera, ni watu wa matukio tu. Tanzania ni Moja, hayo majimbo akagawe huko Ubelgiji sisi hapana.
But the President would still be one...Mimi mkazi wa Songea Kitai, nilikuwa naumia sana kuona katika eneo letu ndipo yanapatikana makaa ya mawe yanayolisha karibu viwanda vyote nchini, na mengine yanasafirishwa kwenda Rwanda, Uganda, Burundi na Kenya na kuingizia nchi mamilioni ya pesa. Chakusikitisha barabara katika eneo letu ni Mungu tu ndo anajua, Yaani inafika kipindi cha mvua magari yanashindwa hata kupita kwenda kupakia makaa, barabara ni mbovu, eti suluhisho wameona matipa ndo yaende kupakia huko migodini yalete mjini ndo yapakiwe kwenye magari na kusafirishwa.
Kinachoniuma ni kuwa pamoja na mamilion tunayoingiza, pia sisi ni wakulima wakubwa, tuna lisha nchi na kuingizia mamilioni, isitoshe kuna uvuvi katika ziwa Nyasa vyote hivi vinaingiza mamilioni, lakini tunashindwa kujengewa barabara , Maji safi ya kunywa kwetu ni ndoto, hospital paka uende mjini, umeme tunauona tukienda mjini.
Naamini hii Sera ya majimbo kwamba kile kinachopatikana sehemu kilete maendeleo kwanza eneo lile husika ingekuwa imeanza siku nyingi basi wakazi wa Kitai tungekuwa kama calfonia,.
Kuna maeneo hapa Tanzania yatakuwa kama ulaya, ndio maana nchi kama Afrika kusini miji yake karibu yote imeendelea. Fikiri jimbo la Iringa lingekuwaje nafkiri kama Durban, Mtwara wana gesi, wana korosho, wana uvuvi wangekuwa kama Chicago. Moshi, Arusha, Mwanza, Mbeya sijui yatakuwaje.
Kwa kifupi hii Sera kwangu Mimi ndio Sera rahisi zaidi ya kuleta maendeleo kwa kurudisha mamlaka ya matumizi ya pesa kwa wananchi wa eneo husika. Wao ndo wanaamua tufanye nini na hii pesa yetu. Nafkiri hii ingekwepo chato wasinge amua kujenga uwanja wa ndege, Bali wangetumia zile pesa kwa jambo lenye manufaa zaidi ya uwanja. Pia wananchi wasingenunua ndege bali hiyo hela wangefanyia jambo lenye manufaa zaidi.
Pia Sera ya majimbo itapunguza mtu mmoja kuwa na maamuzi ya nchi nzima na kufanya aabudiwe kama mungu. Maana asingekuwepo mtu wa kusema msimchagua Fulani sileti maendeleo kwenu. Maana maendeleo yatakuwa yanaamuliwa na wananchi wenyewe na si kama ilivyo sasa amabapo pesa zote za nchi nzima zinakusanya sehemu moja alafu rais ndo anapanga afanye nini na hizo pesa. Matokeo yake ndo tunaon mtu anajiamulia tu sijui ajenge uwanja wa ndege, sijui anunue ndege, anaona pesa nyingi paka nyingine anaona bora agawe barabarani.
Pia hii Sera itapunguza ufisadi kwa kiasi kikubwa, maana wananchi watakuwa wanajua mapato na matumizi ya majimbo yao. Kama kuna ufisaidi mahali itakuwa rahisi kujulikana, tofauti na sasa ambapo CAG kasema kuna ufisadi wa Trillion 1.5 hazijulikani zilipo, ila serikali wanasema hakuna pesa iliyopotea na matokeo yake CAG akafukuzwa kazi kwa kusema ukweli. Pia tungekuwa tunajua kuwa tumenunua ndege kwa kiasi gani, tumejenga uwanja kwa kiasi gani tofauti na sasa ambapo gharama za ndege anajua mtu mmoja tu. Na gharama za uwanja anajua mtu mmoja tu Yaani yeye ndo mnunuzi, ndo dalali, ndo mtoa pesa, ndo mwandika mkataba, ndo msaini mkataba, ndo mwanasheria, ndo mhasibu, ndo daktari ndo kila kitu.
Faida za majimbo ni nyingi sana siwezi kuziandika zote, lakini nchi zote zenye mfumo wa majimbo karibu zote zimepiga hatua katika sekta ya maendeleo.
#LissuTumekuaminiTuvushe#
Sasa unayejua uko wapi mchango wako mkuu, Ujue Kwa mchango wako wewe, unanisaidia kuelewa na wengine piaAchana nae huyo, ni uyoga tu hajui hata anachoongea
Nani kakwambia wameikataa??? Mbona sie tumeikubali???Katika sera ambazo wananchi wamezikataa bayana, hii ni mojawapo, tena hii imehakikishwa hata na tume ya warioba. Kati ya failures za CHADEMA, ni hii policy.
Was never and will never be accepted in the near future. Not a campaigning issue at all, ingawa mwaka huu ni obvious wanashindwa.
Hii nakataa mkuu singida Wana rasimali nyingi tuMkuu, hii Sera ni Nzuri Ukiwa katika Jimbo, ama mkoa wenye Resources nyingi na kutoshereza kujiletea maendeleo, swali langu ni kwamba, Kwa kuwa mikoa yenye utajiri wa lasirimali za kutosha huwenda zisifikie hata mikoa 8, hiyo mikoa mingine wataweza kuvumilia umaskini Wao uliopo ktk mikoa Yao ukiwemo mkoa wa Singida anakotokea Raisi wa mitandaoni?
Sera ya majimbo, ni Nzuri Sana mkiwa na eneo kuuubwa la nchi, nchi yetu ni ndogo na inaweza kulinganishwa na Jimbo moja tu la Taxes Maerekani, maana yake Ni kwamba, Jimbo la Taxes, utajiri ulio katika Baadhi ya maeneo yake, huufunika umaskini wa maeneo mengine yasiyokuwa na utajiri wa rasilimali
Je, hapa, mtaigawaje hii nchi ili kwamba, Kwa mikoa hiyo isiyozidi minane iingizwe kwenye hayo majimbo hata yasiyokuwa na kitu ili sasa kuumeza huo umaskini wa mikoa zaidi ya ishirini+
Hata ukasema uigawe kikanda, Naihofia kanda ya Kati, Kwa kuwa mikoa yake ni myeupe na inakuwaga na njaa sana
Hii Sera imekuwepo muda mrefu sana ndani ya chadema, wakongwe waligundua kuwa haitapokelewa positively na wananchi, hivyo ilikuwa haijitokezi kwa kuwa ingeathiri sana umaarufu na kukubalika kwa chadema. Bahati mbaya chama kimevamiwa na wanaharakati waropokaji wamemwaga kila kitu hazarani. Kifupi sera hii ni mufilisi kabisa na ndiyo itawaharakisha kifo cha chadema kilichotabiriwa, tayari kutoka jana baada ya mgombea wa ccm JPM kuwatahadhalisha watanzania dhidi ya ubaguzi unaoshadadiwa na chadema, watanzania wameachwa na mshituko mkubwa kwamba nchi inaweza kugawanywa vipande vipande kama chadema wataingia ikulu. Kwa heri chadema tulikupenda lakini uzembe wenu umewaponza. Mlionywa kwamba Lissu ni mwanaharakati asiye na staha.Mimi mkazi wa Songea Kitai, nilikuwa naumia sana kuona katika eneo letu ndipo yanapatikana makaa ya mawe yanayolisha karibu viwanda vyote nchini, na mengine yanasafirishwa kwenda Rwanda, Uganda, Burundi na Kenya na kuingizia nchi mamilioni ya pesa. Chakusikitisha barabara katika eneo letu ni Mungu tu ndo anajua, Yaani inafika kipindi cha mvua magari yanashindwa hata kupita kwenda kupakia makaa, barabara ni mbovu, eti suluhisho wameona matipa ndo yaende kupakia huko migodini yalete mjini ndo yapakiwe kwenye magari na kusafirishwa.
Kinachoniuma ni kuwa pamoja na mamilion tunayoingiza, pia sisi ni wakulima wakubwa, tuna lisha nchi na kuingizia mamilioni, isitoshe kuna uvuvi katika ziwa Nyasa vyote hivi vinaingiza mamilioni, lakini tunashindwa kujengewa barabara , Maji safi ya kunywa kwetu ni ndoto, hospital paka uende mjini, umeme tunauona tukienda mjini.
Naamini hii Sera ya majimbo kwamba kile kinachopatikana sehemu kilete maendeleo kwanza eneo lile husika ingekuwa imeanza siku nyingi basi wakazi wa Kitai tungekuwa kama calfonia,.
Kuna maeneo hapa Tanzania yatakuwa kama ulaya, ndio maana nchi kama Afrika kusini miji yake karibu yote imeendelea. Fikiri jimbo la Iringa lingekuwaje nafkiri kama Durban, Mtwara wana gesi, wana korosho, wana uvuvi wangekuwa kama Chicago. Moshi, Arusha, Mwanza, Mbeya sijui yatakuwaje.
Kwa kifupi hii Sera kwangu Mimi ndio Sera rahisi zaidi ya kuleta maendeleo kwa kurudisha mamlaka ya matumizi ya pesa kwa wananchi wa eneo husika. Wao ndo wanaamua tufanye nini na hii pesa yetu. Nafkiri hii ingekwepo chato wasinge amua kujenga uwanja wa ndege, Bali wangetumia zile pesa kwa jambo lenye manufaa zaidi ya uwanja. Pia wananchi wasingenunua ndege bali hiyo hela wangefanyia jambo lenye manufaa zaidi.
Pia Sera ya majimbo itapunguza mtu mmoja kuwa na maamuzi ya nchi nzima na kufanya aabudiwe kama mungu. Maana asingekuwepo mtu wa kusema msimchagua Fulani sileti maendeleo kwenu. Maana maendeleo yatakuwa yanaamuliwa na wananchi wenyewe na si kama ilivyo sasa amabapo pesa zote za nchi nzima zinakusanya sehemu moja alafu rais ndo anapanga afanye nini na hizo pesa. Matokeo yake ndo tunaon mtu anajiamulia tu sijui ajenge uwanja wa ndege, sijui anunue ndege, anaona pesa nyingi paka nyingine anaona bora agawe barabarani.
Pia hii Sera itapunguza ufisadi kwa kiasi kikubwa, maana wananchi watakuwa wanajua mapato na matumizi ya majimbo yao. Kama kuna ufisaidi mahali itakuwa rahisi kujulikana, tofauti na sasa ambapo CAG kasema kuna ufisadi wa Trillion 1.5 hazijulikani zilipo, ila serikali wanasema hakuna pesa iliyopotea na matokeo yake CAG akafukuzwa kazi kwa kusema ukweli. Pia tungekuwa tunajua kuwa tumenunua ndege kwa kiasi gani, tumejenga uwanja kwa kiasi gani tofauti na sasa ambapo gharama za ndege anajua mtu mmoja tu. Na gharama za uwanja anajua mtu mmoja tu Yaani yeye ndo mnunuzi, ndo dalali, ndo mtoa pesa, ndo mwandika mkataba, ndo msaini mkataba, ndo mwanasheria, ndo mhasibu, ndo daktari ndo kila kitu.
Faida za majimbo ni nyingi sana siwezi kuziandika zote, lakini nchi zote zenye mfumo wa majimbo karibu zote zimepiga hatua katika sekta ya maendeleo.
#LissuTumekuaminiTuvushe#
Ndoto za Asubuhi....Kenya wameishia kutengeneza Matabaka ya walionacho na wasionachoNa kwa kuongeza tu. Mara nyingi unapokuwa na serekali za majimbo, serekali kuu inakuwa na baeaza dogo la mawaziri. Wanaweza wasizidi sita. Waziri mkuu, Mambo ya ndani, nje, Ulinzi, pesa na Afya.
Hawa mawaziri wa vijana na michezo, waziri wa kilimo na mifugo ni mizigo tu ndani ya serekali. Eti waziri wa uvuvi! We unakuta kuna kuna mkoa kuna bwana smaki lakini huo mkoa hauna hata mto.
Unakutankama dar kuna bwana nyuki. Dsm kuna wafuga nyuki?
Kuwe na watendaji tu. Kwa kila kanda kulingana na mahitaji.
Badala ya kuwa na utitiri wa madiwani kila kanda inakuwa na bunge lao dogo ambalo kazi yake ni kupitisha badget ya jimbo husika.
Kwa kifupi hii sera inapaswa kuelekezwa kwa wananchi kwa kuwatumia kina Mnyika na watunga sera wa chama.
Nimalize kwa kumwombea kura Mheshimiwa Lissu.