Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei
Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya Kutengeneza,kutambua na kuongeza mauzo ya sehemu husika.Kupanda Au kushuka kwa mauzo sio sababu ya masoko ni Branding ndiyo -inayosababisha karibu upate elimu ambayo itakuonyesha na kukuongeza Kwenye biashara yako.
Branding inasimamiwa na nguzo kuu nne ambazo zinatakiwa zitumike Sambamba ndio mafanikio huonekana kama unavyofikiria na nguzo hizo Ni Alama, Bidhaa, Mtu na Mfumo.Legacy imejikita--zaidi kwenye alama Ambayo ni nguzo ya kwanza na muhimu inayobeba zote.
Kampuni imetoa pia alama hizo katika vifurushi kutegemea uwezo wa Mtumiaji--kwa wakati husika,kifurushi cha kwanza kinaitwa "Basic" hiki Ni kwa ajili ya ofisi kwa maana ya vifaa na kifurushi kingine ni "Promotion" Hiki ni kwa ajili ya kufanyia promosheni na kutafutia masoko na kifurushi Cha mwisho ni "Premium" hiki ni kifurushi ambacho kinajumuisha vyote Viwili hapo juu kikiwa na nyongeza ya kufanyiwa utafiti wa soko la Bidhaa yako na kupewa mbinu chanya.
Kutokana na kutambua umuhimu wa wateja kutambua elimu hii ndio Maana kampuni pia imetoa punguzo kwa kipindi hiki cha--msimu wa Sabasaba kwa atakae pata elimu hii, tnashauri ni bora uipate elimu hii Sasa itakusaidia kutambua unatakiwa ufaye nini ili biashara yako ikue Na iwe kama unavyofikiria.
Karibu sasa bei zetu ni nafuu kabisa ukilinganisha na huduma tunayotoa
Pia kutokana na kutambua uepo wa wateja kutoka nje ya nchi na mkoa Hivyo pia tunafanya kazi online,ili kupata huduma hii tafadhali tumia Mawasiliano hapo chini.
Kwa mawasiliano na maelekezo tafadhali tumia njia zifuatazo Simu: 0713 603 699/0767 603 699 Email: info@legacytz.com Web: www. Legacytz.com Blog: legacycompany@blogspot.com