Acheni kumchafua mama.
Mwaka 2016/2017 sembe iliuzwa mpaka 2200 @kg.
Mimi pia nilikuwa na duka Dar es salaam, tuliuza kwa bei hiyo.
Nyie kilichobaki ni kuolewa na huo mzimu wa JPM mridhike.
Mnasahau kwa haraka sana
Mwaka jana mwishoni maeneo mengi Tanzania yalikabiliwa na ukame.
Hii ni effects of draught.
Acheni kuwa wajinga na akili ndogo.
Ungekuwa na akili nyingi ungejikusanyia mahindi na mpunga wa kutosha mwaka jana na leo isingekuwa na muda wa kupost post kama hii