Selection za vyuo naziona wana jf

Jemedary

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
212
Reaction score
72
Wakuu naomba niulize wapi naweza kupata majina ya waliochaguliwa na vyuo?
 
Wakuu naomba niulize wapi naweza kupata majina ya waliochaguliwa na vyuo?

kichwa cha habari HAKINA USHIRIKIANO NA MAELEZO YAKO. Tutashindwa kukujibu inavyotakiwa.Rekebisha kichwa kwanza ndo uje tena humu.
 
Asee eti ndo mtu anaenda chuo kikuu hajui ata kuandika vitu vya kueleweka..
 
huyo kweli ni mbabaishaji hata kuandika hajui au ndo mausingizi ya jkt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…