Sehemu muhimu katika mapenzi

Jaman kuuliza sio ujinga,,, mpeni elimu kijana


Kuna maswali ya kuuliza humu JF, tofauti yetu ndo hiyo JF tupo serious. Haya maswali ya kitoto aende kwa watoto wenzake FB.
 
Kuna maswali ya kuuliza humu JF, tofauti yetu ndo hiyo JF tupo serious. Haya maswali ya kitoto aende kwa watoto wenzake FB.


Ushasema fb watoto, watampa ushauri usiofaa dats why kawafata wazee wa kijiji
 
Wadau mmenichekesha sana...
Mi nadhani anapotaka kupiga bao, akate na gogo hapo hapo. Walahi hautasahaulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…