See the cast of 'commando' then and now....

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
987
Arnold Schwarzenegger, John Matrix

starring mwenyewe...jeshi la mtu mmoja..baba jenny..anorld, umri umekimbia aisee ila bado ni legendary Icon

Rae Dawn Chong, Cindy

mwanadada aliyemsaidia anorld katika kumrudisha mtoto jenny,aliyetekwa na magaidi wa arius. naye pia amezeeka sasa...
Dan Hedaya, Arius

yule mkuu wa magaidi,aliyekuwa anamtaka anorld amtume kwenye mission yake ya mapinduzi ya kisiasa ya kuumua rais..ili yeye achukue madaraka.

Vernon Wells, Bennett

alicheza kama mkuu msaidizi wa arius...naye amekua babuu..

David Patrick Kelly, Sully

huyu ndo yule aliyening'izwa miguu juu kichwa chini..na kutupwa korongoni...nadhani unaikumbuka hiyo scene...naye umri umeenda sasa

Alyssa Milano, Jenny Matrix

jenny a.k.a mtoto wa anorld...cheki sasa hivi alivyo mremboo..

Bill Duke, Cooke

nadhani pia mnamkumbuka huyu..ameshacheza pia katika predator...bill duke..naye umri umekimbia...


 
Movie yangu bora zaidi ya wakati wote,,
Thanks mkuu kwa kumbusho hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…