Q QUONSIOUS BOY Member Joined May 18, 2014 Posts 33 Reaction score 1 Jul 25, 2014 #1 HABARI WANA JF nimepata kusoma mtandaoni kwamba uchaguz wa wanafunzi kwenda kidato cha tano 2014 kwa AWAMU YA PILI YAMETOKA source(www.chatguest.com)
HABARI WANA JF nimepata kusoma mtandaoni kwamba uchaguz wa wanafunzi kwenda kidato cha tano 2014 kwa AWAMU YA PILI YAMETOKA source(www.chatguest.com)
Masuonline Senior Member Joined Jun 4, 2013 Posts 192 Reaction score 17 Jul 26, 2014 #2 Dah?hivi ni kweli ama uongo
S Sadick Nkinda Member Joined Feb 15, 2014 Posts 77 Reaction score 9 Jul 26, 2014 #3 zile sio ndugu second mpaka mwez wa nane
Masuonline Senior Member Joined Jun 4, 2013 Posts 192 Reaction score 17 Jul 26, 2014 #4 Sadick Nkinda said: zile sio ndugu second mpaka mwez wa nane[/QUOT kwa hiyo zile mkuu zinahusiana na nini Click to expand...
Sadick Nkinda said: zile sio ndugu second mpaka mwez wa nane[/QUOT kwa hiyo zile mkuu zinahusiana na nini Click to expand...
N nyakahanga JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 240 Reaction score 65 Jul 30, 2014 #5 QUONSIOUS BOY said: HABARI WANA JF nimepata kusoma mtandaoni kwamba uchaguz wa wanafunzi kwenda kidato cha tano 2014 kwa AWAMU YA PILI YAMETOKA source(www.chatguest.com) Click to expand... Zishatoka japo kimyakimya. Pitia hapa http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/mabadiliko-ya-shule-kidato-cha-tano-2014/index.php
QUONSIOUS BOY said: HABARI WANA JF nimepata kusoma mtandaoni kwamba uchaguz wa wanafunzi kwenda kidato cha tano 2014 kwa AWAMU YA PILI YAMETOKA source(www.chatguest.com) Click to expand... Zishatoka japo kimyakimya. Pitia hapa http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/mabadiliko-ya-shule-kidato-cha-tano-2014/index.php
fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,673 Jul 30, 2014 #6 nyakahanga said: Zishatoka japo kimyakimya. Pitia hapa Mabadiliko ya shule kidato cha tano na orodha mpya waliochaguliwa kidato cha tano | Pmoralg Tanzania Click to expand... hayo sio ya chaguo la pili ni majina ya waliongezwa baada ya kupatikana nafasi kwa wale waliobadilishiwa shule mbalimbali,chaguo la pili linakuja
nyakahanga said: Zishatoka japo kimyakimya. Pitia hapa Mabadiliko ya shule kidato cha tano na orodha mpya waliochaguliwa kidato cha tano | Pmoralg Tanzania Click to expand... hayo sio ya chaguo la pili ni majina ya waliongezwa baada ya kupatikana nafasi kwa wale waliobadilishiwa shule mbalimbali,chaguo la pili linakuja
N nyakahanga JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 240 Reaction score 65 Jul 30, 2014 #7 fungi said: hayo sio ya chaguo la pili ni majina ya waliongezwa baada ya kupatikana nafasi kwa wale waliobadilishiwa shule mbalimbali,chaguo la pili linakuja Click to expand... Keep waiting for that you call "second selection". Wenzako ndo ishatoka hiyo,,, wamebadili jona tu badala ya chaguo la pili wakaita majina ya nyomgeza
fungi said: hayo sio ya chaguo la pili ni majina ya waliongezwa baada ya kupatikana nafasi kwa wale waliobadilishiwa shule mbalimbali,chaguo la pili linakuja Click to expand... Keep waiting for that you call "second selection". Wenzako ndo ishatoka hiyo,,, wamebadili jona tu badala ya chaguo la pili wakaita majina ya nyomgeza