Ku-experience deities ni rahisi sana, coz wenye magonjwa ya kiroho, wakipelekwa hospital hawatibiki isipokua hutibiwa huduma za kiroho, na hupona.Uliwezaje kujua kuna "Deity" bila kuambiwa na kuaminishwa hivyo?
Huyo Mungu anacho taka aaminiwe ni nini?
Huyo Mungu asipo aminiwa atakufa au?
Naona ninyi Theists ndio mnahangaika sana kumpigania huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi hata kujidhihirisha mwenyewe.
Na huu ni uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu hayupo.
Ni nyie tu mmemtunga vichwani mwenu na mnakazana kufosi aonekane yupo, kumbe hayupo.
Huyo Mungu kama yupo, ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe kwamba yupo.
Anacho jifichia huko alipo kama mwali ni nini?
Afu eti anataka kuaminiwa, inaonekana huyo Mungu wenu ni kilaza kabisa.
Kabla sijakujibu, unaamini makosa yaliyopo kwenye maandiko ni ya Mungu?Weka ushandi solid kuhusu hiki ulichokiandika. Iweje Mungu aruhusu yaandikwe kimakosa yale yanayomuhusu? Mungu anakubali watu wake wapotee kwa kusoma maandiko yasiyo sahihi?
Nimekuuliza, alieisambaza imani ya deities, ktk jamii zote duniani, zisofahamiana wala kuchangamana ni nani?Ipo tofauti ya Kuamini miungu/ mungu na kutoamini kabisa.
Nikijibu swali lako utathibitisha uwepo wa Mungu?Nimekuuliza, alieisambaza imani ya deities, ktk jamii zote duniani, zisofahamiana wala kuchangamana ni nani?
Maelezo haya, ndo yanasupport uwepo uwepo wa Mungu.Soma hapa....
"Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu)."
Yes.Nikijibu swali lako utathibitisha uwepo wa Mungu?
HowMaelezo haya, ndo yanasupport uwepo uwepo wa Mungu.
Hata huyo Mungu au Allah wako Hawezi akawepo kwa dhati yeye mwenyewe tu, from nowhere.
Ni ninyi mmemtunga vichwani mwenu huyo Mungu/Allah na hata hamuwezi kuthibitisha uwepo wake, yeye kama yeye.
Mnatumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe kuanza kufosi kwamba ndio viliumbwa na huyo Mungu wenu.
Mkiulizwa huyo Allah kaumbwa na nani? Mnaanza danadana.
Atheist hana imani ya aina yeyote ile.
Atheist hatuamini kwenye kuamini.
Tunataka kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua.
Ninyi " Waamini Mungu" ndio hamnaga hoja. Na wala hamuwezagi kujenga hoja zaidi ya kuanza kutushambulia Atheists.
Nakuuliza hivi na ujenge hoja sio kuleta hadithi zako uchwara za kwenye Quran zisizo na uthibitisho wowote ule.
Moja, Huyo Mungu kabla ya kuumba kitu chochote kile, Alikuwa wapi?
Mbili, Huko alikokuwa, kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?
Eleza na thibitisha. Usianze hadithi za kwenye Quran mara oh! kilipanda kikashuka.
SIO KWELI, Elon musk sio Atheist hivyo madai yako ni ya uongoElon musk ni Atheist.
Stephen Hawking ulimtumia kwenye hoja zako , Naye ni binadamu kama wengineIsaac Newton ni binadamu kama wengine, Na yeye anaweza kuwa na imani yake isiyokuwa na uthibitisho wowote ule.
Kwa hivyo Isaac Newton kusema kwamba "There must be a supernatural power beyond the universe" Hakuthibitishi na wala Hakudhihirishi uwepo wa hiyo supernatural power.
Ni imani zake tu zisizo na uthibitisho wowote ule.
Ungemalozia tu Kwa ufupi ni kwamba wewe na roboti hamna tofautiMimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uthibitisho na uhakika.
Binadamu wa kwanza alizaliwa na nani ?Binadamu na dunia havina mwanzo.
Watu wanazaliwa hawazuki.
Hata mtu wa kwanza katika kizazi chetu, Hakuzuka.
Alizaliwa kutoka kwenye kizazi chake.
Watu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo milele.
Dunia na vyote vilivyomo except man-made things, Vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
Havijaumbwa na yeyote wala kuzuka kutoka popote.
Watu huzaliwa, hawazuki.
Una elewa hilo wewe kichwa maji?
Sema "Mimi sijui"Binadamu tunazaliwa kwenye ulimwengu ambao tayari upo. Lakini hatujui ulimwengu ulikuwepo vipi, Au ulifanyika vipi.
Na kama hatujui, Huwezi kuhitimisha moja kwa moja kwamba kuna creator wa ulimwengu.
Maana tunazaliwa kwenye ulimwengu ambao tayari upo, ila hatujui kwamba uliumbwa, Au ulikuwepo tu.
Kwa hivyo huwezi kuhitimisha moja kwa moja kwamba, Ulimwengu uliumbwa na creator.
Maana bado huna uthibitisho huo, inawezekana vilevile ulimwengu haujaumbwa na creator, ulikuwepo tu wenyewe.
Roboti yupo programmed and controlled.Ungemalozia tu Kwa ufupi ni kwamba wewe na roboti hamna tofauti
Na wazazi wake.Binadamu wa kwanza alizaliwa na nani ?