School agent

wizi mtupu.... kwa hiyo hata kama shule haina ubora mnaangalia masirahi hamuoni hiyo mbinu inaingia kwenye wizi wa kuaminiwa. kikubwa chakuwashauri mjipange kuanzia chakula na maradhi halafu muweke walimu wenye ushindana ambao wataleta matokeo mazuri. baada ya kuona matokeo tutawaleta wenyewe bila kulaghaiwa na maneno.
 
Sorry to burst your bubble but not every business that advertises has an intake problem. Wake up. How about you do your home work on reasons for advertising first then get back to the rest of us.

regards
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…