Kishawaburuza vibaya mno, hamna kesi hapoEti Jamhuri inaenda kutafakari cha kufanya!wajinga kweli,wamuachie tu maana hakuna cha maana tena
Jamuhuri imejidhalilisha sana kwenye hiliEti Jamhuri inaenda kutafakari cha kufanya!wajinga kweli,wamuachie tu maana hakuna cha maana tena
Nikwamba anapambana na average people not smart like him. Siku ashindanishwe na smart people of his calibar au kumzidi ndio tuje tutafakari upya.
Hao smart wamelevya na ulevi wa uteuzi mkuu.Wapo wapi mkuu hao smart? Wamefichwa wapi? Wanakuja lini wanasubiriwa waje wapambane naye? Kumbe kuna smart people among kengez, mbona nchi na utawala mzima unaonekana mediocre? Hao smart bado wamepiga usingizi? Au ndo wale wa Udsm? Udasa?🙂
Mwakyembe ni Average Waliosoma sheria Tanzania ni wengi Sana ila tunaojua sheria ni Mimi na Tundu by Chenge Unamfahamu ChengeNikwamba anapambana na average people not smart like him. Siku ashindanishwe na smart people of his calibar au kumzidi ndio tuje tutafakari upya.
😂😂 Lissu ni Mwenye kibali nae anajua ilo ndo maana yuko vileWapo wapi mkuu hao smart? Wamefichwa wapi? Wanakuja lini wanasubiriwa waje wapambane naye? Kumbe kuna smart people among kengez, mbona nchi na utawala mzima unaonekana mediocre? Hao smart bado wamepiga usingizi? Au ndo wale wa Udsm? Udasa?🙂
Kama nani sasa mkuu, labda wewe mwenyewe?Nikwamba anapambana na average people not smart like him. Siku ashindanishwe na smart people of his calibar au kumzidi ndio tuje tutafakari upya.
Unaweza kukuta mwandishi ni mama wa mtu kabisa eti🤣🤣🤣🤣Yani utampenda tu hata kama unatumikia uchawa, moyoni mwako unakubali tu kwamba dunia inaendelea kupata somo hata mama yao anakubali ufanisi wake! Watakuja kufanyia research hiki kichwa miaka ya baadaye wenye akili kujua cells za ubongo wake zina nasaba ya kibongo kweli? Huyu mnyaturu wa namna gani? Tusubiri tutajua tukiwa hai...
Au mwenzetu huyu ni alien? Mbona alama anazoacha zinavuka ufahamu wa kengez? Tangu LEAT kule Bulyanhulu nanteen kweusi, kupitia risasi za SMG/AKA47 zilizoshindwa, kuangusha mwamba njiani hadi hizi lectures mfululizo toka pale Kivukoni dah!
Anaangusha mnyama mojamoja kama kawaida ya simba, tutafikaga tu
Anatisha mbuyakwe...
View attachment 3492708
Hap smart peoples wako wapi waitetee serikali?Nikwamba anapambana na average people not smart like him. Siku ashindanishwe na smart people of his calibar au kumzidi ndio tuje tutafakari upya.
Hao smart hawapo au wewe unawafahamu kuliko serikali.Nikwamba anapambana na average people not smart like him. Siku ashindanishwe na smart people of his calibar au kumzidi ndio tuje tutafakari upya.
Kinachonifurahisha ni kwamba umekiri kuwa jamaa ni smartNikwamba anapambana na average people not smart like him. Siku ashindanishwe na smart people of his calibar au kumzidi ndio tuje tutafakari upya.