come to reply. Mawembasa1979, Manchester inapitia kipindi cha mpito mno. Wachezaji wakubwa kama Fernandes, CR7 na wengine wanaonekana kama mizigo tu. Bora tutimue wote tuanze na vijana wa Academy.

pwilo, nimewahi sikia kwamba Manchester washinde au wafungwe still bado ni klabu kubwa inayopata pesa sana hapo England. Hivi hii haiwapi kiburi cha kuwafukuza makocha kwakuwa hawategemei ushindi kupata pesa ?