..hiyo itawasaidia Waingereza ktk shughuli za kijasusi dhidi ya Gaddafi.
..wanaweza hata kutumbukiza mtu wao humo, mwisho ukasikia wamemu-eliminate Gaddafi.
..Savimbi naye si alikuwa mtoto wao, mwisho nasikia haohao wakam-set up akawa ambushed na MPLA.
..siasa za kimataifa ni kitu cha ajabu sana na mara zote mataifa makubwa na makampuni yao ndiyo yanayofaidika.
..wakati wa vita vya Angola, visima vya mafuta vya Angola/MPLA vilikuwa chini ya makampuni ya magharibi lakini Wacuba ndiyo walikuwa wanavilinda!!