Sapiosexuals. Wanaopendana kwa misingi ya akili zao. Sio rangi, sura wala umbile

Wait .. . Kwa hiyo akitoa mawazo tu jinsi yalivyo critical baas dushe linasimama au
acha nipende muonekano hizo akili hata asiwe nazo
 
I just love someone ambaye yuko bright, reasoning mpaka mambo mengine anafanya kwa akili....ila nimestukia niliye naye akili zake sijui zinawazaga nini yani nakwazika hataree...
Badilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…