Babillony Member Joined Oct 12, 2020 Posts 8 Reaction score 0 Oct 21, 2020 #1 BABILLON FASHION TZ ON SALE SANDALS BEI 17,000/= FREE DERIVERY CALL 0787228150 Dar es Salaam
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,542 Reaction score 2,474 Oct 22, 2020 #2 Bora nitembee peku! hapo napata pair 3 kariakoo. Jifunzeni pricing! No overnight success ! Never!
Babillony Member Joined Oct 12, 2020 Posts 8 Reaction score 0 Oct 22, 2020 Thread starter #3 Mr Confidential said: Bora nitembee peku! hapo napata pair 3 kariakoo. Jifunzeni pricing! No overnight success ! Never! Click to expand... Sawa boss
Mr Confidential said: Bora nitembee peku! hapo napata pair 3 kariakoo. Jifunzeni pricing! No overnight success ! Never! Click to expand... Sawa boss
mwakyindi JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,627 Reaction score 2,212 Oct 22, 2020 #4 ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ maisha ya Dr mbona yapo juu ivyo! Mimi izo sandals jana nimenunua buku8 uku mwanjelwa mbeya
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ maisha ya Dr mbona yapo juu ivyo! Mimi izo sandals jana nimenunua buku8 uku mwanjelwa mbeya
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,209 Reaction score 40,650 Oct 22, 2020 #5 mwakyindi said: ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ maisha ya Dr mbona yapo juu ivyo! Mimi izo sandals jana nimenunua buku8 uku mwanjelwa mbeya Click to expand... Ni elf 5-7.......amezidisha bei sana,labda nikwawale anaowapelekea majumbani
mwakyindi said: ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ maisha ya Dr mbona yapo juu ivyo! Mimi izo sandals jana nimenunua buku8 uku mwanjelwa mbeya Click to expand... Ni elf 5-7.......amezidisha bei sana,labda nikwawale anaowapelekea majumbani
Zombi Mweusi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 1,076 Reaction score 2,161 Oct 22, 2020 #6 Huyu inaonesha hayupo dar na kama yupo dar basi yupo karume maana ndo bei zao
mwakyindi JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,627 Reaction score 2,212 Oct 22, 2020 #7 Chikwuemeka said: Ni elf 5-7.......amezidisha bei sana,labda nikwawale anaowapelekea majumbani Click to expand... nikweli kabisa mkuu maana Mimi sikuamba anipunguzie iyo buku8 ndio bei alio anzia muzaj
Chikwuemeka said: Ni elf 5-7.......amezidisha bei sana,labda nikwawale anaowapelekea majumbani Click to expand... nikweli kabisa mkuu maana Mimi sikuamba anipunguzie iyo buku8 ndio bei alio anzia muzaj
Babillony Member Joined Oct 12, 2020 Posts 8 Reaction score 0 Oct 22, 2020 Thread starter #8 mwakyindi said: nikweli kabisa mkuu maana Mimi sikuamba anipunguzie iyo buku8 ndio bei alio anzia muzaj Click to expand... Usicoment kwa kitu ambacho hukijui kama unaona ni bei sana basi sio level yako acha ikupite we tumia vilivyo katika uwezo wako
mwakyindi said: nikweli kabisa mkuu maana Mimi sikuamba anipunguzie iyo buku8 ndio bei alio anzia muzaj Click to expand... Usicoment kwa kitu ambacho hukijui kama unaona ni bei sana basi sio level yako acha ikupite we tumia vilivyo katika uwezo wako
mwakyindi JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,627 Reaction score 2,212 Oct 22, 2020 #9 Babillony said: Usicoment kwa kitu ambacho hukijui kama unaona ni bei sana basi sio level yako acha ikupite we tumia vilivyo katika uwezo wako Click to expand... kipi icho nisicho kijua icho? Or chakuwaibia watu? Kwatarifa yako ninauwezo mkubwa2 izo sandals kwangu ni kanda2 za kuogea
Babillony said: Usicoment kwa kitu ambacho hukijui kama unaona ni bei sana basi sio level yako acha ikupite we tumia vilivyo katika uwezo wako Click to expand... kipi icho nisicho kijua icho? Or chakuwaibia watu? Kwatarifa yako ninauwezo mkubwa2 izo sandals kwangu ni kanda2 za kuogea
Babillony Member Joined Oct 12, 2020 Posts 8 Reaction score 0 Oct 22, 2020 Thread starter #10 mwakyindi said: kipi icho nisicho kijua icho? Or chakuwaibia watu? Kwatarifa yako ninauwezo mkubwa2 izo sandals kwangu ni kanda2 za kuogea Click to expand... Sawa
mwakyindi said: kipi icho nisicho kijua icho? Or chakuwaibia watu? Kwatarifa yako ninauwezo mkubwa2 izo sandals kwangu ni kanda2 za kuogea Click to expand... Sawa