Samsung tablet for sale

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
616
Reaction score
738
Samsung TABLET inauzwa display inch 8,ina ram gb 1 na rom gb 8, haitumii line, ina mwezi 1 tangu kuinunua bei 250,000
 
Haitumii line...sasa net inakuwaje?
Kaka bora usingecomment.... Maana umeongea kichekesho..... Sasa nani kakuambia net inapatikana kwenye line peke yake???? Je kama ukiwa na wife! Ama ukiwa na router ama modem... Ama ukifanya tethering na device nyingine!
 
Na wewe(wife)ndo nini ni WIFI
Hahahahahaha....duh,hatari sana.
Haitumii line...sasa net inakuwaje?

Kaka bora usingecomment.... Maana umeongea kichekesho..... Sasa nani kakuambia net inapatikana kwenye line peke yake???? Je kama ukiwa na wife! Ama ukiwa na router ama modem... Ama ukifanya tethering na device nyingine!

Nisinge comment nisingeyajua hayo....asante.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…