Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,416 Nov 23, 2015 #1 wakuu,kama title inavojieleza sijawah weka pasword,napenda kujua namna ya kutoa hyo meseji,kwani nikibofya zaid ya mara 3 inaleta ujumbe wa kufail na code flani hivi. kwa anayejua anisaidie kwani ni muhimu.
wakuu,kama title inavojieleza sijawah weka pasword,napenda kujua namna ya kutoa hyo meseji,kwani nikibofya zaid ya mara 3 inaleta ujumbe wa kufail na code flani hivi. kwa anayejua anisaidie kwani ni muhimu.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,822 Reaction score 5,416 Nov 24, 2015 Thread starter #2 wakuu wa it hamna anayejua hyo ishu