Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Aug 26, 2015 #1 Samsung LED TV inch 23 ipo dar bei 260,000/= simu 0654070066
Gormahia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 515 Reaction score 353 Aug 26, 2015 #2 Weka picha mkuu
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Aug 27, 2015 #4 aina gani hiyo tv?
Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Aug 27, 2015 Thread starter #5 mwanampendwa said: Picha plz Click to expand... Nichek kwene hizo namba nikutumie picha watsapp
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Aug 27, 2015 #6 Persie said: Samsung LED TV inch 23 ipo dar bei 260,000/= simu 0654070066 Click to expand... Hizi zinauzwa zaidi ya 460,000/-, mwenye cash achangamkie fursa aisee.
Persie said: Samsung LED TV inch 23 ipo dar bei 260,000/= simu 0654070066 Click to expand... Hizi zinauzwa zaidi ya 460,000/-, mwenye cash achangamkie fursa aisee.
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,449 Reaction score 16,610 Aug 27, 2015 #7 190, cash iko nchek PM tumalize biashara
Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Aug 28, 2015 Thread starter #8 Allency said: 190, cash iko nchek PM tumalize biashara Click to expand... 260,000 ndo bei ya kuuza mkuu
Allency said: 190, cash iko nchek PM tumalize biashara Click to expand... 260,000 ndo bei ya kuuza mkuu
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,585 Reaction score 2,056 Aug 28, 2015 #9 Nngekuwa dar mkuu nngenunua,very cheap.
1 1701 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 862 Reaction score 367 Aug 28, 2015 #10 Wanajf,mtu yeyote asinunue hii tv,okoa 260,000 yako,moderators naomba mlink id za huyu jamaa na washirika wake
Wanajf,mtu yeyote asinunue hii tv,okoa 260,000 yako,moderators naomba mlink id za huyu jamaa na washirika wake
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Aug 28, 2015 #11 picha hamna?
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,548 Reaction score 2,181 Aug 28, 2015 #12 Kula 200K
1 1701 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 862 Reaction score 367 Aug 28, 2015 #13 Nmetoka kutoa warning lakin bado watu wana bid, ndo wadantanyika
skfull JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 2,944 Reaction score 2,390 Aug 28, 2015 #14 1701 said: Wanajf,mtu yeyote asinunue hii tv,okoa 260,000 yako,moderators naomba mlink id za huyu jamaa na washirika wake Click to expand... Vipi huyu jamaa ni mtambo au?
1701 said: Wanajf,mtu yeyote asinunue hii tv,okoa 260,000 yako,moderators naomba mlink id za huyu jamaa na washirika wake Click to expand... Vipi huyu jamaa ni mtambo au?
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Aug 28, 2015 #15 1701 said: Nmetoka kutoa warning lakin bado watu wana bid, ndo wadantanyika Click to expand... maelezo yako hayajajitosheleza...reason ya kutokubid ni nini?
1701 said: Nmetoka kutoa warning lakin bado watu wana bid, ndo wadantanyika Click to expand... maelezo yako hayajajitosheleza...reason ya kutokubid ni nini?
Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Aug 30, 2015 Thread starter #16 1701 said: Nmetoka kutoa warning lakin bado watu wana bid, ndo wadantanyika Click to expand... toa reason mkuu sio kuwatisha watu bila sababu
1701 said: Nmetoka kutoa warning lakin bado watu wana bid, ndo wadantanyika Click to expand... toa reason mkuu sio kuwatisha watu bila sababu
Persie Senior Member Joined May 2, 2012 Posts 188 Reaction score 15 Aug 30, 2015 Thread starter #17 Tv bado ipo bei tajwa hapo juu wakuu nmenunua nyingine kubwa zaidi hii ipo tu sina kazi nayo ndo mana nauza Warranty bado inayo frm manufacturer Samsung napatikana ilala amana namba 0654070066 picha mtandao unasumbua nichek watsapp nikutumie
Tv bado ipo bei tajwa hapo juu wakuu nmenunua nyingine kubwa zaidi hii ipo tu sina kazi nayo ndo mana nauza Warranty bado inayo frm manufacturer Samsung napatikana ilala amana namba 0654070066 picha mtandao unasumbua nichek watsapp nikutumie
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,519 Reaction score 10,755 Aug 30, 2015 #18 kula 95k
M Mzee Mwalubadu Senior Member Joined Jun 25, 2015 Posts 178 Reaction score 72 Aug 30, 2015 #19 LIKE Niku ADD said: kula 95k Click to expand... Duuuh..