Jazia nyama tangazo lako lijitosheleze... picha kwa kila angle (kama ina kava litoe mtu athaminishe hali halisi ya simu), elezea kama mtu anapata na accesories nyingine kama charger na earphone.
Hapo utafanya tangazo lako hata kama sina shida ya simu basi tamwambia mtu kwa kuwa nimeiona.