Samsung inch 32 kwa bei rahisi

Tizeba

Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
12
Reaction score
5
Wakuu nauza Samsung TV inch 32 pamoja na deki ya sing sang .bei 400,000/=kwa vyote.






Napatikana dar,bei ni fixed...hakuna punguzo
Anaeitaji njoo pm
 
Ya kichina au Korea
Umri wake
Ina tatizo gani
Ni salama kuitumia kokote
 
Wakuu nimeshusha bei Nina shida ya haraka sana
Vyote TV na deki 300,000/=
 
Mali ni ya uhakika,na utakuja mpaka ninapokaa na kuchukua nyumbani
 
Ofa autakuja kujutia ela yako ,ni shida tu wakuu
 
Duh pole, sana! Mungu akupe wepesi ktk shida yako...ikiwezekane akupe njia mbadala ya kuipata hiyo pesa.
Mwenye pesa jamani afanye kumsaidia...hiyo deck na TV kwa 300k kweli ana shida...sema wakati wa Magu huu , hata iyo ndogo ni sheeda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…