daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,479
- 3,405
Weka picha weweeSimu bado ipo
Bei imepungua
Weka picha wewee
Jama ni mjinga sana huyuAcha utani..weka picha yake original..kwa hii uliyopost hata sisi tukiingia mtandaoni tungeipata
Hakuna janja janja yoyoteHadi hapa inaonekana wazi biashara yako ni janja janja
Sasa kama hakuna janja janja mbona unaweka picha ya kudownload kwenye mitandao badala ya kuweka picha ya simu ambayo unauza?Hakuna janja janja yoyote
Ngoja nitafute simu nyingine nipige pichaSasa kama hakuna janja janja mbona unaweka picha ya kudownload kwenye mitandao badala ya kuweka picha ya simu ambayo unauza?