nikushauri tu. usiangalie sana bei chee angalia na ubora wa simu. kwanza fanya utafiti ujue mpya inauzwaje. ndo uende kununua used na ununue simu yenye warranty coz ikiharibika hupati tabu yoyote. kuliko kununu simu haina warranty itakugharimu sana. kioo tu chenyewe ni lak3