waziry Member Joined Apr 18, 2013 Posts 55 Reaction score 8 Sep 14, 2013 #1 kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa pm. ni simu mpya original. utacheki mwenyewe kabla ya kuto pesa. bei ni maelewano. kuanzia laki 7 ni mpya kabisa ndani ya box. first come first served......
kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa pm. ni simu mpya original. utacheki mwenyewe kabla ya kuto pesa. bei ni maelewano. kuanzia laki 7 ni mpya kabisa ndani ya box. first come first served......
N nancykisinda New Member Joined Sep 11, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Sep 27, 2013 #2 pia ukitaka kijua ni original unasemaje
M mr.wallace New Member Joined Sep 28, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Sep 29, 2013 #3 Mi naihitaji ila kuamin kama ni mpya na kuipata nitaipataje?