L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Sep 24, 2014 #1 Nahitaji simu tajwa hapo juu, iwe katika hali nzuri. bajeti yangu ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia tuwasiliane kama vipi.
Nahitaji simu tajwa hapo juu, iwe katika hali nzuri. bajeti yangu ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia tuwasiliane kama vipi.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Sep 24, 2014 #2 Ace hutaki?
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Sep 25, 2014 Thread starter #3 Hornet said: Ace hutaki? Click to expand... nilikuwa na ace3 kabla ya kuwa na hii ninayotumia. Thanks
Hornet said: Ace hutaki? Click to expand... nilikuwa na ace3 kabla ya kuwa na hii ninayotumia. Thanks
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,939 Reaction score 2,845 Sep 25, 2014 #4 Nicheck kesho lakini uwe 350 ,nasema kesho kwani ndio nategemea kupata simu nyingine Attachments 1411644964047.jpg 36.3 KB · Views: 136 1411644998914.jpg 30.4 KB · Views: 122
AKILImuchknow JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 213 Reaction score 14 Sep 25, 2014 #5 Joshamto said: Nahitaji simu tajwa hapo juu, iwe katika hali nzuri. bajeti yangu ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia tuwasiliane kama vipi. Click to expand... Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote
Joshamto said: Nahitaji simu tajwa hapo juu, iwe katika hali nzuri. bajeti yangu ni laki 3 tu. Mwenye note 2 pia tuwasiliane kama vipi. Click to expand... Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Sep 25, 2014 Thread starter #6 helpless hopeless said: Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote Click to expand... internal memory ni ngapi?
helpless hopeless said: Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote Click to expand... internal memory ni ngapi?
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Sep 25, 2014 Thread starter #7 helpless hopeless said: Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote Click to expand... natamani sana ila mwisho wangu ni 300. Mwanangu kama vipi nipe hiyo simu. internal memory ni ngapi? ram? Nijibj pliz
helpless hopeless said: Mkuu jiongeze hadi 350k nikupe kitu kipya kabisa na accessories zote Click to expand... natamani sana ila mwisho wangu ni 300. Mwanangu kama vipi nipe hiyo simu. internal memory ni ngapi? ram? Nijibj pliz
AKILImuchknow JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 213 Reaction score 14 Sep 26, 2014 #8 Joshamto said: natamani sana ila mwisho wangu ni 300. Mwanangu kama vipi nipe hiyo simu. internal memory ni ngapi? ram? Nijibj pliz Click to expand... Ntakupatia S3 Galaxy mini, tutafutane kesho panapo majaaliwa yake Allah
Joshamto said: natamani sana ila mwisho wangu ni 300. Mwanangu kama vipi nipe hiyo simu. internal memory ni ngapi? ram? Nijibj pliz Click to expand... Ntakupatia S3 Galaxy mini, tutafutane kesho panapo majaaliwa yake Allah
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Sep 26, 2014 Thread starter #9 Mi nina hamu na s3 kamili, sio mini.
1 1000 words Senior Member Joined Dec 29, 2012 Posts 169 Reaction score 32 Sep 26, 2014 #10 Joshamto said: Mi nina hamu na s3 kamili, sio mini. Click to expand... ipo note 1 katika neat condition kwa bei ya 320. PM au nicheki via 0716651695 tuongee
Joshamto said: Mi nina hamu na s3 kamili, sio mini. Click to expand... ipo note 1 katika neat condition kwa bei ya 320. PM au nicheki via 0716651695 tuongee