ebu funguka mkuu, ina tatizo gani? Nimeshakutana na wa2 wawili ambao 2mefanya negotiations humu ndan kwa bahat mbaya wakakutana na mm ambae najua clone,cm yenye tatizo,ha2kufika mwafaka ila mara ya 1 walisema ziko poa.So kama iko poa leta ktk 0656000058