Samsung galaxy original zinauzwa


ONLINE halafu bei ndiyo hiyo!
 
Mi sitaki kuharibu biashara ya mtu hapa ila natoa angalizo tu!! kuna fake nyingi sana mjini..ukiona mtu anasimu Samsung kuna mawili fake au original.

na fake sio fake kama u navyozani wewe.. jina zuri ni clone yaan ni copy ya simu husika kwa function na looks yake kikubwa cha kucheki ni hivi

kuna njia kibao za kutofautisha origina na clone. kwa wale ambao sio expert angalia vitu hivi tu..

1 - chomeka kwanza kwenye Computer ikisema device found na ukaona ( MTK ) Jua ni clone

2 - Zingine simu haina hata line wala hakuna mtandao pale juu inaonyesha 4G na wewe unafurahia .hio ni clone

3- simu haina nafasi hadi uweke memory card. jaribu toa memorycard uone ina nafasi kiasi gani.

naamini njia hizi hata bibi, mama,au mtu ambaye hana muda wa kufatilia processor,ram pixel, nk ataweza kuijua clone bila pasua kichwa.

swali je clone ni fake? hapana hizi zimetengenezwa maalumu kwa ajiri ya watu wa kipato cha chini wasio weza kununua origina phones

tatizo nini? tatizo ni watu wanaodanganya watu kuwa hizo ni original pengine hata wao hawajui kama hizo ni clone wanauziwa kwa bei kubwa na wao wanauza kwabei kubwa.


solution:
clone ni nzuri na bei yake ni poa... kama unaoriginal waweza kuwa na clone yake ukaweka line nyingine sababu function ni zilezile. clone zipo za simu zote...ukihitaji nitakupatia kwa bei chini ya 250,000 tu

sasa basi kama kaka unauza origina au clone sijui. ila bei zako kama ni original kweli zipo poa sana na mimi nitakutafuta nikuungishe.


cheers!!!
 
jaribu kupitia na post za watu wengine ulinganishe apo ni cheap na fair sana au jaribu kupitia maduka ya simu uone.

NIMESHAPITA HUKO KITAANI SANA TU NA BEI ZIKO TOFAUTI SANA NA HIZO
Samsung galaxy s2-220,000/=
samsung galaxy s3-400,000/=
samsung galaxy S4-520,000/=
samsung galaxy s5-800,000/=
samsung note 1-350,000/=
samsung note 2-540,000/=
samsung note 3-700, 000/=
samsung galaxy grand-350,000/=

nA HAPO BADO HUJAIMBA NYIMBO ZA SIKINDE. UKIIMBA BEI INASHUKA KAMA KAWAIDA
 

wewe nitafute kwa namba hizo
 

unachoongelea ni ukweli mtupu na watu wanalizwa sana kuuziwa clone kama original. na siku hizi izo codes sijui *#0*# au *#7353# si kigezo cha kucheki kama simu ni original cha muhimu deal na specification za simu as internal memory na applications nyingine.

Karibu sana mkuu usisite kunitafuta kwa namba zangu hixo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…