Niuzie hiyo nikatafute display.Duh mkuu mimi nataka Display tu ninayo ya kwangu imeasuka kioo nipe bei
Mkulu kuna Doc Detail zangu ndio Maana natafuta kioo, labda ukipata Kioo wewe tunaiwasha and then nachukua doc zang kisha nazifuta humo tunamalizana au vipi?Niuzie hiyo nikatafute display.
Bei Dukani niliambiwa same 390,000 nikabaki nimeduwaa tu kha!mkuu ulipoulizia display dukani c inazd hata bei nnayouza cm
Ok sawa wewe utaniuzia kiasi gan?Mkulu kuna Doc Detail zangu ndio Maana natafuta kioo, labda ukipata Kioo wewe tunaiwasha and then nachukua doc zang kisha nazifuta humo tunamalizana au vipi?
Mkuu nakupigia skupati hewani, vp cm bado ipo? tufanye biashara.samsung galaxy note 4 used inauzwa 390,000/= Tsh.
baadhi ya specification:
RAM 3GB
Internal 32gb
network 4g
rangi nyeupe
good condition haina crack yoyote
kwa anayehitaji ni pm au piga 0713280314
nipo dar
Ukinipa Jiwe Tatu nakuachiaOk sawa wewe utaniuzia kiasi gan?
Chukua 100000 maana display wanauza 300000 mpya njoo pm kama uko tayar.Ukinipa Jiwe Tatu nakuachia