habari zenu, kuna rafiki yang anauza samsung galaxy note ii imekua upgraded kutoka 4.1.2 kwenda 4.3 version! Na uwezo wake n 32gb ndani! Black in colour! Na ana makava ya kutosha ya gold na mengineo! Na bado n mpyaa! Kwa maelezo zaid mpigie namb hii hapa +255 718 337 470 (anapatikana whatsapp).
Pamoja tujenge taifa letu!
Thanks
Habari zenu, Kuna rafiki yang anauza Samsung Galaxy Note II imekua upgraded kutoka 4.1.2 kwenda 4.3 version! Na uwezo wake n 32gb ndani! Black in colour! Na ana makava ya kutosha ya gold na mengineo! Na bado n mpyaa! Kwa maelezo zaid mpigie namb hii hapa +255 718 337 470+255 718 337 470 (anapatikana whatsapp).
Pamoja tujenge taifa letu!
Thanks
Weka Bei mpigie namba hii ndo nini?
Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
price .........
Yupo, save namb anaitwa hilal den refresh utamuona
Wabongo kiswahili tabu sana, m siuzi hyo cm anayeuza mwenye namb hyo na m hyo sio namb yang! Kama unataka mpigie, kama hutaki fany yako mengine!
M najua kanuni za jamii forum, ila m sio dalali kama wengine mtu sim sio yake anataka adalalie yeye! Ndo mana nkatoa namb ya jamaa ili apigiwe cm yeye na auze kwa bei yake!
Nadhan mmenifaham!
Ahsante