samsung galaxy mega 300k tu

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
nimejaribu kuuza kwa njia ya mnada kupitia hii link Samsung galaxy mega GT-I9200 kwa kiasi chochote cha pesa ulicho nacho!! ila naona watu wanaogopa kutaja dau zao, na waliotaja kama hawapo serious vile.. kwaiyo nimeamua kuuza tu kwa njia ya kawaida.

sifa za simu husika


picha zake halisi hizi hapa


bei 300,000/= unapewa chaji yake original na earphone zake origanal, ila kama umepungukiwa kidogo usiogope kusema.

location: dar es salaam
call: 0752362207
email mathayomtakatifutz@gmail.com

NB: unaruhusiwa kuikagua kadri uwezavyo hadi pale utakapo jiridhisha ndio tunafanya biashara.

karibuni sana.
 
Hivi kwanini mtu anunue simu used kama hiyo wakati sokoni mpya zipo na bei chee? Nikiwa na 300000 nikaingia Jumia online shopping wananiletea hadi nyumbani simu kali hadi mlangoni.
 
Hivi kwanini mtu anunue simu used kama hiyo wakati sokoni mpya zipo na bei chee? Nikiwa na 300000 nikaingia Jumia online shopping wananiletea hadi nyumbani simu kali hadi mlangoni.
(1)mkuu ndio mana nikasema kama umepungukiwa usiogope kusema

(2)bei ya samsung galaxy mega dukani unaijua vzuri?
 
kwa specifications za hiyo simu na muda ulioitumia ukimpata wa 100k pokea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…