Katika vitu ambavyo ni hatari kuvifanya,ni pamoja na kununua simu au laptop iliyotumika.kuna case nyingi sana ambapo wanunuzi wa simu used wamekutwa na kesi zisizowahusu,mimi huwa sishauri kununua simu used hasa hizi smartphone..............hapana ,silengi kumharibia mtu biashara,ila ni angalizo tu.