Mkiva...Camera ipo Bongo imeingia juzi na sina wasiwasi kwasababu najua kama inafanya kazi.Inatumia betri za AA nadhani utanifahamu hapo ila sikuwa na muda wa kununua betri kwasababu ya muda.Na kama uatainunua nitakushauri ununue betri za kuchaji ni nzuri zaidi lakini utahitaji charger.Au kama vipi hapo uongeze SHS 15,000 nikuletee kutoka UK ambayo itakuwa ni ya uhakika ni charger na betri ambayo sitii faida ktk hiyo ni kama msaada.Nijibu kama upo serious lakini mzigo utafika mwezi ujao tarehe 10.