isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 25, 2018 #1 ..hallow guys nauza sim bei poa nicheki whatsapp 0653254555
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,270 Reaction score 4,182 Jan 25, 2018 #2 weka bei hapa. whatsapp hatuji tafadhali..... tumalizane humuhumu
Kanye2016 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 3,019 Reaction score 3,192 Jan 25, 2018 #3 Weka na picha ya simu
P Pascalzebalozi Member Joined Sep 30, 2015 Posts 73 Reaction score 20 Jan 25, 2018 #4 Tangazo uweke humu halafu picha whaatsap
M mkwawa complex Senior Member Joined Dec 15, 2016 Posts 183 Reaction score 150 Jan 25, 2018 #5 HUYU SIO MUUZAJI.HIO CMU YAKO SIO BIDHAA ADIMU KI-HIVYO MPAKA UTUPANGIE MASHARTI KWAMBA ATI ILI UTUUZIE,NI MPAKA TUKUFUATE WHATSAPP !
HUYU SIO MUUZAJI.HIO CMU YAKO SIO BIDHAA ADIMU KI-HIVYO MPAKA UTUPANGIE MASHARTI KWAMBA ATI ILI UTUUZIE,NI MPAKA TUKUFUATE WHATSAPP !
Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,378 Reaction score 1,782 Jan 25, 2018 #6 Hakuna Samsung A7 2016 ambayo ni waterproof
Alphonce Kagezi JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 338 Reaction score 163 Jan 25, 2018 #7 Ni vizuri tangazo la biashara kama toleo jipya la Simu tangazo liambatane na bei pia upatikanaji wa bidhaa hysika kwa maana ya duka mji nk
Ni vizuri tangazo la biashara kama toleo jipya la Simu tangazo liambatane na bei pia upatikanaji wa bidhaa hysika kwa maana ya duka mji nk
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,174 Reaction score 10,445 Jan 25, 2018 #8 Wewe kaa nayo. Njaa ni yako hatuji whatsapp
Gluk JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 1,859 Reaction score 3,022 Jan 25, 2018 #9 Tapeli huyu
varangati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,726 Reaction score 1,628 Jan 25, 2018 #10 Huyu kakosea sheria za JF jinsi ya kuandika tangazo ......apigwe ban
isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 26, 2018 Thread starter #11 isack_mako said: ..hallow guys nauza sim bei poa nicheki whatsapp 0653254555 Click to expand...
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 Jan 26, 2018 #12 MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,872 Reaction score 4,604 Jan 26, 2018 #13 isack_mako said: Click to expand... Watanzania tuna tatizo sana! Sasa unaweka picha moja ambayo umepiga nyuma ya simu!
isack_mako said: Click to expand... Watanzania tuna tatizo sana! Sasa unaweka picha moja ambayo umepiga nyuma ya simu!
isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 26, 2018 Thread starter #14 isack_mako said: Click to expand...
isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 26, 2018 Thread starter #15 Haya watanzania mzigo huo hapo
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jan 26, 2018 #16 isack_mako said: Haya watanzania mzigo huo hapo Click to expand... weka bei wewe.
isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 26, 2018 Thread starter #17 mkorinto said: weka bei wewe. Click to expand... Laki nne...400000
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jan 26, 2018 #18 isack_mako said: Laki nne...400000 Click to expand... he.
isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 26, 2018 Thread starter #19 mkorinto said: he. Click to expand... Biashara tunaongea
isack_mako Member Joined Jan 17, 2018 Posts 16 Reaction score 2 Jan 26, 2018 Thread starter #20 Bobbyray said: Hakuna Samsung A7 2016 ambayo ni waterproof Click to expand... Sawa kaka