kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Nov 26, 2017 #1 Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431 Attachments IMG_20171126_110554.jpg 104.8 KB · Views: 78 IMG_20171126_110601.jpg 127.4 KB · Views: 67
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,692 Reaction score 13,317 Nov 26, 2017 #2 mkuuu acha utani aisee
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,692 Reaction score 13,317 Nov 26, 2017 #3 Hamna simu ya laki nne hapo
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,349 Nov 26, 2017 #4 Mkuu wakati unafikiria kubadir bei kutoka kwenye hiyo laki nne ya usingizin mm nakupa 70,000. Bila longolongo..njoo PM
Mkuu wakati unafikiria kubadir bei kutoka kwenye hiyo laki nne ya usingizin mm nakupa 70,000. Bila longolongo..njoo PM
Kiparuanda JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,598 Reaction score 2,411 Nov 26, 2017 #5 Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,692 Reaction score 13,317 Nov 26, 2017 #6 Baba Heri said: Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000 Click to expand...
Baba Heri said: Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000 Click to expand...
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,226 Reaction score 9,489 Nov 26, 2017 #7 Nakupa 80
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Nov 26, 2017 #8 Hiyo uza kwa laki na 70 otherwise hupati mteja.
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,194 Nov 26, 2017 #9 Mazingira ya biashara ni moja ya njia ya kupata wateja wa bidhaa zako!!...clouds wanaita "kuiongezea thamani".
Mazingira ya biashara ni moja ya njia ya kupata wateja wa bidhaa zako!!...clouds wanaita "kuiongezea thamani".
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Nov 26, 2017 Thread starter #10 Baba Heri said: Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000 Click to expand... Hiyo simu itakuwa huifahamu vzuri
Baba Heri said: Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000 Click to expand... Hiyo simu itakuwa huifahamu vzuri
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Nov 26, 2017 Thread starter #11 dlnobby said: Mkuu wakati unafikiria kubadir bei kutoka kwenye hiyo laki nne ya usingizin mm nakupa 70,000. Bila longolongo..njoo PM Click to expand... Kama unaifahamu hii simu huku ni kunitukana
dlnobby said: Mkuu wakati unafikiria kubadir bei kutoka kwenye hiyo laki nne ya usingizin mm nakupa 70,000. Bila longolongo..njoo PM Click to expand... Kama unaifahamu hii simu huku ni kunitukana
kuku87 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 1,220 Reaction score 296 Nov 26, 2017 Thread starter #12 LICHADI said: Hamna simu ya laki nne hapo Click to expand... Kwa kipato chako na uelewa sio mbaya
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Nov 26, 2017 #13 kuku87 said: Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431 Click to expand...
kuku87 said: Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431 Click to expand...
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Nov 26, 2017 #14 AQIiIa kuku87 said: Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431 Click to expand... 1q1z
AQIiIa kuku87 said: Samsung A3 2016 iko sokoni, hali nzuri 16 GB Bei 400,000 Mawasiliano 0652- 396431 Click to expand... 1q1z
Sam bm JF-Expert Member Joined Oct 25, 2017 Posts 285 Reaction score 195 Nov 26, 2017 #15 LICHADI said: Hamna simu ya laki nne hapo Click to expand... Ulishazoea tecno na aitel ww
Sam bm JF-Expert Member Joined Oct 25, 2017 Posts 285 Reaction score 195 Nov 26, 2017 #16 Baba Heri said: Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000 Click to expand... Labda kwenye maduka ya waha
Baba Heri said: Hiyo cm mpya dukani pamoja na earphones original na charger ni 350,000 Click to expand... Labda kwenye maduka ya waha
farujohni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 212 Reaction score 285 Nov 26, 2017 #17 Hivi s7 nishingapp dukani mpya
Meja M JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 628 Reaction score 560 Nov 26, 2017 #18 Naona hutaki kua kaa
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Nov 26, 2017 #19 farujohni said: Hivi s7 nishingapp dukani mpya Click to expand... Zipo aina mbili Edge na plus Ipi hiyo unahitaji?
farujohni said: Hivi s7 nishingapp dukani mpya Click to expand... Zipo aina mbili Edge na plus Ipi hiyo unahitaji?