Same-sex marriage becomes legal in D.C.

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28


 
Nimefatilia wanaharakati wa Uganda ambao wanapinga mpango wa serikali kupitisha sheria kali kuhusu watu hawa. eti hii si mila ya kiafrika lakini wao wanadai wanaume walikua wanadinyana kitambo kabla hata ya mkoloni, u can imagine hata sabuni wakati huo kulikua hakuna!
 
Dah ebwana we ningekua bado DC ningeshinda Dupont circle , nadhani ningekamata mmoja nikapata US citzenship...ila kwa dili soo kwa kimalavi dovie!
 
Boss wa mambo yaho ni shetani.Siku zote haramu hufanya halali.
Ukweli utabaki pale pale HAIFAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…