Tukiwa tunampongeza Samatta kwa kuiwakilisha vyema Tanzania, umefika wakati sasa wa tuwe wazalendo na kusifia na kutangaza zaidi vya kwetu. Ifike wakati sasa, hata kwenye magazeti ya michezo kama mwanaspoti, dimba n.k kuwe ni msimamo wa league kuu ya ubelgiji kuliko kuwa na EPL, Laliga nk pekee. Pia kuwe na top scorers wa ligi kuu wa ubelgiji ambapo mtanzania mwenzetu anatutangaza huko.