born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,499
Don't take it serious mkuu.Dogo anajua..ila Namshangaa Mpuuzi hapo juu anaesema kwa Magufuli kila goti litapigwa katoa mchango gani kwa Samatha au ni shobo
Tanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!
Mshambualiaji hatari wa Taifa Stars na mchezaji wa zamani wa Simba na TP Mazembe ambaye kwa sasa anakipiga kwenye club ya KRC Genk ya huko Belgium inayoshiriki ligi kuu ya huko ijulikanayo kama Pro league.
Jana 21 august Genk ilicheza mechi yake ya 4 tangu msimu huu uanze na walicheza wakiwa ugenini dhidi ya Lokeren.
Kama kawaida Samatta alikuwepo kwenye starting XI akimuweka bench nguli kutoka Greece Nikos Karelis. Kwenye mchezo huo ulioanza majira ya saa 1 ucku EAT Genk walishinda 3-0.
Samatta alitupia mawili dk 34 na dk 38 hadi HT Genk wanaongoza. Second half dk 59 mchezaji T. Buffel aliongeza bao la tatu na kuitimisha ushindi mnono wa Genk.
Kwa matokeo hayo sasa,Genk imefikisha points 7 na kushika nafasi ya 4. na Samatta amefikisha magoli 3 in 4 matches.
Bravo Samatta.
Tanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!
....siujua wazee wa kujikomba!!!....Dogo anajua..ila Namshangaa Mpuuzi hapo juu anaesema kwa Magufuli kila goti litapigwa katoa mchango gani kwa Samatha au ni shobo
Magufuli amesaidia nini hapo?? Hilo goti utampigia weweTanzania mpya ya Magufuli kila goti litapigwa.
Marathon tumekuwa wa 5
Serengeti boys tumeshinda
Samata anazidi kutisha !!
Mchezo huu hautaki hasira mazee....Dogo anajua..ila Namshangaa Mpuuzi hapo juu anaesema kwa Magufuli kila goti litapigwa katoa mchango gani kwa Samatha au ni shobo