mchezaji wa tp mazembe b. Samata jana usiku aliifungia timu yake goli la ushidi dhidi ya zamalek ya misri.wakicheza kwenye uwanja wa cairo bila mashabaki ,tp mazembe ilifunga magaoli mawili kupitia hecheni(mzambia), samata na zamaleki walifunga goli moja.
Kwa matokeo haya tp mazembe imefikisha point 7 na kujikita katika nafasi ya pili kwenye kundi lake.
Group b:
Al ahly, 10 points
mazembe, 7 points
berekhum chelsea, 5 points
zamalek,0 point.
Kwa kweli hiyo tabia yakeinashangaza sana. Maana ukimwangalia anapocheza akiwa Mazembe ni tofauti kabisa na anapokuwa Stars. labda formation ya uchezaji ndiyo inamfanya asionekana mzuri anapokuwa StarsAna boa sana akiwa team ya taifa hapa,anajifanya kama hayupo mchezoni kabisa!!au anaogopa kuumia?awe anatoa pasi za ushindi basi sio lazima apangue ngome na kufunga!!!hajitumi kabisaaa