Unabadilisha biashara au inakupa hasara, una data za mapato ya hiyo biashara yako.Nabadilisha biashara , kwa mwenye kuifanya hiyo salon anicheck
Siyo kwamba nilikuwa napata hasara , ila nimeamua kuiuza , na kubadilisha aina ya biashara. Kama unahitaji karibu Kaka.Unabadilisha biashara au inakupa hasara, una data za mapato ya hiyo biashara yako.
Wabongo kwa ujuaji ...Unakuta hapo anauza hii biashara ili anunue ki gari alingishie mtaaani wakat eneo lina wateja kinoma
Unakuta hapo anauza hii biashara ili anunue ki gari alingishie mtaaani wakat eneo lina wateja kinoma
ZA jion Mkuu.Habari za majukumu!
Nauza salon ya kiume ikiwa na kila kitu chake ndani kama vinavyoonekana katika picha.
Hiyo salon ipo maeneo ya Banana kituoni .
Bei ni 6,000,000/= maongezi yapo.
Ipo kwenye eneo lenye watu wengi.
Kwa anayehitaji tuwasiliane Kwa 0739025947.
Karibuni. Bei maelewano.View attachment 1093250View attachment 1093251View attachment 1093252View attachment 1093253View attachment 1093255
Vizuri sana. Nitaufanyia kaziZA jion Mkuu.
Ukitaka kuuza vizuri, ainisha vilivyopo, ili mtoa aone kama dhamani ya vifaa inalingana na fedha atakayotoa.
Mfano:-
Sehemu ni.............................kwa kawaida frame hukodishwa kwa tsh .................
Viti nya kunyolea viko..................@
mashine za kunyolea ziko ........................@
Kiti cha wageni cha watu 3 viko .......................... @
etc
Kama ukipenda lakini, sikulazimishi.
Hivi inawekana kweli biashara inayokupa faida uiuze ili ufungue nyingine? Yaani wewe hutaki kuwa na biashara nyingi kama mpendwa wetu Dr Mengi?Siyo kwamba nilikuwa napata hasara , ila nimeamua kuiuza , na kubadilisha aina ya biashara. Kama unahitaji karibu Kaka.
Nilikuwa napata faida nzuri tu .
Swadakta...Kwa ufupi hamna mtu anayeweza kuuza biashara yenye kumpa faida, hiyo biashara imekaa sehemu mbaya haikulipi ndo maana unaiuza,,,over
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, huyu jamaa sio.Hivi inawekana kweli biashara inayokupa faida uiuze ili ufungue nyingine? Yaani wewe hutaki kuwa na biashara nyingi kama mpendwa wetu Dr Mengi?
HahaKipi hpo kinakufanya uifikishe Iyo saloon Milion 6 mahana viti vipo 3 au vioo mahan nashidwa kuelewa hpo milion 2 tu mtu kumpata n xhidah