Hahaha,nahisi anamaana ya pale Tabata Sheli ambapo kama sikosei moja kwa moja ndio unaelekeo Ubungo na ukipanda juu ni kuelekea Tabata Kimanga ile njia ya Tabata Bima.