Ndugu wana wa JF nina LAPTOP computer nauza kwa bei nafuu kabisa.

Kabila lake ni HP EliteBook

Windows 7 Royale XP

C.P.U model Intel(R) P 8600 @ 2.40 GHz

Ram 2Gb

Hard Disk 500

Inasehemu ya kuweka line

Inasehemu ya kueka memory card

Bei ni laki 5 na nusu fixed price

Kwa yoyote anaihitaji anitumie sms 0777 433260 mi napatikana tandika kwa sasa