UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Oct 17, 2013 942 566 Oct 28, 2017 #1 Hi wana great thinker kuna rafiki yangu kajaza fomu kugombea uongozi CWT viambata ni pamoja na salary slip. Kila akienda kuzitaka mtandao unakuwa haupatikani kwa wiki nzima.Kuna dalili akakosa sifa za kugombea hiyo nafasi masikitiko makubwa sana.
Hi wana great thinker kuna rafiki yangu kajaza fomu kugombea uongozi CWT viambata ni pamoja na salary slip. Kila akienda kuzitaka mtandao unakuwa haupatikani kwa wiki nzima.Kuna dalili akakosa sifa za kugombea hiyo nafasi masikitiko makubwa sana.
Good Father JF-Expert Member Feb 28, 2014 10,275 18,353 Oct 28, 2017 #2 Umesema wagombea alafu unasimulia mambo ya rafiki yako mmoja tu. Nilijua ni wagombea wengi tu kumbe tatizo la mtu mmoja tu. Kwa hiyo hoja yako ni kwamba anahujumiwa au?
Umesema wagombea alafu unasimulia mambo ya rafiki yako mmoja tu. Nilijua ni wagombea wengi tu kumbe tatizo la mtu mmoja tu. Kwa hiyo hoja yako ni kwamba anahujumiwa au?
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Oct 17, 2013 942 566 Oct 28, 2017 Thread starter #3 Namaanisha mtandao unasumbua kitendo kinachokwamisha utoaji salary slip
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,315 7,113 Oct 28, 2017 #4 UMASIKINI BWANA said: Namaanisha mtandao unasumbua kitendo kinachokwamisha utoaji salary slip Click to expand... UMASIKINI BWANA ukitanda mpaka kwenye ubongo ni kero! Yaani tatizo la mtu mmoja ndo tusinywe hata maji? Akishindwa kutumia mbinu za medani imetoka hiyo!
UMASIKINI BWANA said: Namaanisha mtandao unasumbua kitendo kinachokwamisha utoaji salary slip Click to expand... UMASIKINI BWANA ukitanda mpaka kwenye ubongo ni kero! Yaani tatizo la mtu mmoja ndo tusinywe hata maji? Akishindwa kutumia mbinu za medani imetoka hiyo!
CompaQ JF-Expert Member Dec 31, 2012 281 133 Oct 28, 2017 #5 mwambie huyo Mwalimu ajisajiri hapa baada ya masaa 24 ataoakua Salary slip kwa mwaka huu wa fedha. https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=/
mwambie huyo Mwalimu ajisajiri hapa baada ya masaa 24 ataoakua Salary slip kwa mwaka huu wa fedha. https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=/
S Statistics JF-Expert Member Sep 22, 2013 3,177 6,531 Oct 28, 2017 #7 kuna uchaguzi gani huo wa uvccm-cwt?