Salary slip zawa adimu kwa wagombea CWT vijana

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Hi wana great thinker kuna rafiki yangu kajaza fomu kugombea uongozi CWT viambata ni pamoja na salary slip.

Kila akienda kuzitaka mtandao unakuwa haupatikani kwa wiki nzima.Kuna dalili akakosa sifa za kugombea hiyo nafasi masikitiko makubwa sana.
 
Umesema wagombea alafu unasimulia mambo ya rafiki yako mmoja tu.

Nilijua ni wagombea wengi tu kumbe tatizo la mtu mmoja tu.

Kwa hiyo hoja yako ni kwamba anahujumiwa au?
 
Namaanisha mtandao unasumbua kitendo kinachokwamisha utoaji salary slip
UMASIKINI BWANA ukitanda mpaka kwenye ubongo ni kero! Yaani tatizo la mtu mmoja ndo tusinywe hata maji? Akishindwa kutumia mbinu za medani imetoka hiyo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom