Nawatakia mwaka mpya nyooote mliomo na msiomo
mmm na walio ni kataa mmm na mlionipa mawazo mbadala (hata walionipiga kibuyu)
mmmm na mliofurahishwa na mawazo finyu yangu, hasa :tonguez:...cheka kidogo basi....mmmmm :becky:
Mamndenyi ma heaven wote, on earth, light etc etc,mshana jr wapii tyta ,kyumana aah mashalaah jina tttamu,pdiddy Dream big, shy land Isybel,wapi nameless girl ? kitawa , IPILIMO,Jamal20 wapi mamii90....oooohh sugua kisigino
sugua sugua sugua kata mauno katakata kataaaaaaa...........Chapa Nalo jr chap chapa chapaaaa oooohh,mama wee
beb v wapi bibi yaga? posho wee wapi kidinashi