jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,412 Reaction score 5,013 May 12, 2015 #1 Eti Mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni na rais kivuli si anatakiwa kutoa japo maneno mawili matatu kuhusu mgogoro wa Burundi? :becky:
Eti Mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni na rais kivuli si anatakiwa kutoa japo maneno mawili matatu kuhusu mgogoro wa Burundi? :becky:
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,832 Reaction score 4,627 May 12, 2015 #2 Mbowe mkuu ujui kama kilaza aongee nini zaidi ya "NCHI ITAWAKA MOTO"
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 May 12, 2015 #3 Mbowe na Nkurunzinza ni mtu na kaka yake!
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,659 May 12, 2015 #4 Sis tunamigogoro mingi ambayo hata robo hatujaimaliza KUB anamambo meng yanayoikabil nch
K Kilaza JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 3,324 Reaction score 1,378 May 12, 2015 #5 haa mym said: Mbowe mkuu ujui kama kilaza aongee nini zaidi ya "NCHI ITAWAKA MOTO" Click to expand... mbona unanitajataja wewe
haa mym said: Mbowe mkuu ujui kama kilaza aongee nini zaidi ya "NCHI ITAWAKA MOTO" Click to expand... mbona unanitajataja wewe
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,423 May 12, 2015 #6 Ruttashobolwa said: Mbowe na Nkurunzinza ni mtu na kaka yake! Click to expand... Nkurunziza na JK wanaendana sana. serikali inafurahia ya Burundi ili ipate wakimbizi, halafu wasifike kimataifa ati wanakarimu. baada ya muda watpewa uraia!
Ruttashobolwa said: Mbowe na Nkurunzinza ni mtu na kaka yake! Click to expand... Nkurunziza na JK wanaendana sana. serikali inafurahia ya Burundi ili ipate wakimbizi, halafu wasifike kimataifa ati wanakarimu. baada ya muda watpewa uraia!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,471 May 12, 2015 #7 Hivi mnadhani siasa ni kuongelea kila jambo!!!
B babychaga Member Joined May 11, 2015 Posts 25 Reaction score 2 May 12, 2015 #8 Nimechoka hizi siasa
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,832 Reaction score 4,627 May 12, 2015 #9 Kilaza said: mbona unanitajataja wewe Click to expand... Kumbe wewe ndio Mbowe sory brother
stanlthecreator JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,947 Reaction score 648 May 12, 2015 #10 Mbowe kichaa tu,hotuba nzima analia,