ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Baada ya maelezo mareeefu, matokeo yalikuwaje? Pole kwa maumivuuuKiuhalisia ukiondoa penati ile ya 'zawadi' na red card mkubwa alikua anaumbuka mapemaaa...
hata Feisal na Morrison utasema bado ni vijana wenu 🤣🤣 🤣Kikubwa pongezi kubwa kwa kijana wetu Ntibazokiza kwa kuwastiri hawa jirani
Hao bado Wanetu..hata Feisal na Morrison utasema bado ni vijana wenu [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]
Tulieni na baado dadadekiUnakatwa uko jangwani.
Hali ni tete waungwana huko upande wa pili...
Siku mbili hizi zimekuwepo tambo za kufa mtu toka kwa msemaji tukajua baada ya Cska Moscow mbeya city wangekula 8.
Hatimaye hatukuamini tulichokiona jana kwa mkapa.
Waliyetuahidi pira dubai waliomba mpira uishe zilipofika dakika ya 75.
Hali si hali...
Kiuhalisia ukiondoa penati ile ya 'zawadi' na red card mkubwa alikua anaumbuka mapema.
Kikubwa pongezi kubwa kwa kijana wetu Ntibazokiza kwa kuwastiri hawa jirani na amewaokia tokea mechi ya mwanzo siku ile alioanza, hakika kwa sasa yeye ndiye amekuja kuwa mwokozi wa timu maana tunaona sasa hata yule ccc first half hamalizi anaenda kusugua!
Pongezi kubwa wananchi kwa kuwa na scout nzuri,kuwa na watu mahiri ambao hata wakitoka wanasaidia sana timu nyingine.
Inshallah msimu ujao hebu tumfungulie milengo fundi saidoo arudi jangwani,kama tumeweza kumpokea Metacha kwanini isiwe kwa Ntibazokiza?
..# Bring back our Saidoo.#..
Kweli huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja,yaani Saido Ntibazonkiza leo hii ni mchezaji wa Utopolo? Bora kukosa mali kuliko kukosa akiliHali ni tete waungwana huko upande wa pili, siku mbili hizi zimekuwepo tambo za kufa mtu toka kwa msemaji tukajua baada ya Cska Moscow Mbeya City wangekula 8.
Hatimaye hatukuamini tulichokiona jana kwa Mkapa. Waliotuahidi pira Dubai waliomba mpira uishe zilipofika dakika ya 75. Hali si hali.
Kiuhalisia ukiondoa penati ile ya 'zawadi' na red card mkubwa alikua anaumbuka mapema.
Kikubwa pongezi kubwa kwa kijana wetu Ntibazokiza kwa kuwastiri hawa jirani na amewaokia tokea mechi ya mwanzo siku ile alioanza, hakika kwa sasa yeye ndiye amekuja kuwa mwokozi wa timu maana tunaona sasa hata yule ccc first half hamalizi anaenda kusugua!
Pongezi kubwa wananchi kwa kuwa na scout nzuri, kuwa na watu mahiri ambao hata wakitoka wanasaidia sana timu nyingine.
Inshallah msimu ujao hebu tumfungulie milengo fundi saidoo arudi jangwani,kama tumeweza kumpokea Metacha kwanini isiwe kwa Ntibazokiza?
#Bring back our Saidoo
Kwanza kachezea miezi 6 tuu huko utopoloniKweli huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja,yaani Saido Ntibazonkiza leo hii ni mchezaji wa Utopolo? Bora kukosa mali kuliko kukosa akili