shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
ukifika chukua hotel ya manchester au mwafrika hutajutia fedha yako hotel zote zipo karibu na stendi
pia kwa upande wa usafiri tumia usafir wa basi
Tabora kuna hoteli mbili tu unazo weza kuishi na kufanya mikutano ya kibiashara , nazo ni Orioni au Tabora hotel na ya pili ni Frankmann hoteli , nyingine zote ni guest house. Ambazo ni Mwafrika, Manchester, Goodly , Zimbabwe etc .....
recommendation ya usafiri ni ndege ama private , mabasi ya huko ni kero tupu na yanakera sana .......
naomba kufahamu zaidi kuhusu wilaya iliyomegwa toka urambo nataka niombe uhamisho niende huko. vp kunafikika, ni km ngap toka tabora mjin? mm cjawahfika taborawe tbr huijui, alaf inawezekana hujui nini maana ya hoteli, kingine jamaa hajakuambia anataka kufanya mikutano,
Tabora kuna hoteli mbili tu unazo weza kuishi na kufanya mikutano ya kibiashara , nazo ni Orioni au Tabora hotel na ya pili ni Frankmann hoteli , nyingine zote ni guest house. Ambazo ni Mwafrika, Manchester, Goodly , Zimbabwe etc .....
recommendation ya usafiri ni ndege ama private , mabasi ya huko ni kero tupu na yanakera sana .......
we tbr huijui, alaf inawezekana hujui nini maana ya hoteli, kingine jamaa hajakuambia anataka kufanya mikutano,
Naomba nielekez hotel na maeneo mazuri kutembelea hasa kibiashra